Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😁🎧
Screenshot_20250413-180442-1.jpg
 
Nyumbu mlienda PSG mkamkuta Vitinha, Zaire, Barcola nyinyi mkaondoka na Ugarte
 
Huyu Bruno pasi hazifiki anapotaka ziende ila anazidi kuzipiga 😂

World class player
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amorim aendelee tu kuwakumbatia kina Onana na Hojlund ndio atajua kwanini kipara hua hakipakwi super black.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Amorim aendelee tu kuwakumbatia kina Onana na Hojlund ndio atajua kwanini kipara hua hakipakwi super black.
Onana ni jipu, Hojlund hajui mpira.
 
Back
Top Bottom