HahahhaahTugeeni Zirkzee tuwagee Kai
😁 tinga tingaNyumbu mlienda PSG mkamkuta Vitinha, Zaire, Barcola nyinyi mkaondoka na Ugarte
Sahv Psg wanachekelea hyo hela waliyoapataNyumbu mlienda PSG mkamkuta Vitinha, Zaire, Barcola nyinyi mkaondoka na Ugarte
UGARTE akishapewa kadi anakuwa ovyo kabisa. Bora amuweke CASEMIRO mapema.Tunashinda hii game
GGMU
Tayari 1 - 1 ngoja tuoneisak + gordon = 3-1 man u kafa
KENGE mlienda Chelsea mkamkuta Enzo, Jackson, Palmer, Neto mkaondoka na STERLING..Nyumbu mlienda PSG mkamkuta Vitinha, Zaire, Barcola nyinyi mkaondoka na Ugarte
Usiongelee huyo mtu vibaya utachekwa na ulimwengu. Ukisikia mtu anatakiwa Bernabeu ogopa sana huyo mtu.Huyu Bruno pasi hazifiki anapotaka ziende ila anazidi kuzipiga 😂
World class player
😁 kumbe livakuku kanipa correct scoreTayari 1 - 1 ngoja tuone