Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mlivyomfunga Man Cty mkajua ligi yenu hii 😂 mana sio kwa kelele zile
 
Man United's defence
IMG-20250413-WA0453.jpg
 
This is job true true....yaani unabadilisha kipa nae majanga. Beki nazo zinateleza tuu. Hii timu kwa kweli bora wafanye maamuzi magumu
 
Mpigwe tu mpaka mkarudishe Ile jersey famba mliomdanganyia bwana mkubwa🤸
 
Nimesoma mahali huku JF kuwa Yanga eti tuna mpango wa kuwaleta tucheze kwenye Yanga day halafu pia tuje kucheza nanyi Old Trafford.

Kama kweli ikitokea, nafikiri hili ni suala la kibiashara zaidi kwetu ila kimpira uwanjani, nyie siyo level yetu kabisa na tutawapiga nyingi. Heri hata tungewaita Chelkenge au C115y.
 
Mashabiki wa United hatupati burudani wala makombe. Yaani, timu ipo-ipo tu.
Hatari .... Naona sasa mbadili kikosi chote hamna wache,ani yaani beki yolo...ukimwangalia tuu unaona kabisa huyu rojorojo kabisa
 
Back
Top Bottom