Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
ManU mnaruhusu kuchezewa nyuma. ..hatareee sana hii
Mkuu lugha hizi kuwa nazo makini:thumbup:

Sitegemei visingizio vyovyote kwenye hii mechi
hii bayen kumbe butu sana imezoea kufunga vitim vidogodogo kama arsenal. ndio maana rekodi yao mechi tatu za mwisho hawajashinda hata moja.
Mkuu NZI, nakuhakikishia bila Felaini hapa tutateseka sana sijui kwa nini amemuacha england.

Umeona refa alivyo mshenz*....Lahm pale alistahili kadi...
Visingizio ndio kitu gani hiyo...
Mkuu lugha hizi kuwa nazo makini:thumbup:
Mbona sina timu ninayoshabikia kwenye hii gemu lakini roho inanidunda hivi?!