Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,902
unasema???Mmelambwa 😂
unasema???Mmelambwa 😂
Kisa amefunga au sio, sisi mashabiki muendelee kubaki kushabikia tuu acheni kujifanya wachambuzi baada ya mechiNarudia tena AMAD ni MESSI
Mmefufuka eeeunasema???
Wameshinda afu bado nafasi ya 12 😂 sasa umuhimu wa kumfunga City uko wap 😂Sasa nyie mmeshinda ili iweje?
Nyumbu siwakubali ila leo nimefurahi ili tuzidi kupendeza pale juuNyumbu mmetisha HONGERENI sana. 👏👏👏👏
Ahsante sana gigy money ila mna midomoNyumbu mmetisha HONGERENI sana. 👏👏👏👏
nawewe punguza kiherehere kabla mechi haijaisha.Kisa amefunga au sio, sisi mashabiki muendelee kubaki kushabikia tuu acheni kujifanya wachambuzi baada ya mechi
Bc mmeshinda mna nguvu ya kujibu watu 😂 tambeni wakuu huu ndo wakati wenu na nafasi yenu ya 13 huko 😂nawewe punguza kiherehere kabla mechi haijaisha.
Bc mtaongea vya kutosha 😂We kama unaona mancity kaonewa leta timu yako
Ngapi huko hii Sunday???Cooked by Timber on Wednesday
Cooked by Wood On Sunday
Will be Cooked by Stones on Sunday
Umenuuuna huko ulipo.Mmebanduliwa 😂