Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,657
- 122,172
Tunataka mpaka ashindwe kucheza ht kwa dkk moja ndio itakuwa furaha yetu imetimia, leo alivyoanza roho imeniuma sana 😂Umbwa kabisa nyie mmetuuzia scraper kwa pesa za kusajili mchezaji mwenye Ballon d'Or.
Chukueni chezaji lenu mturudishie japo nusu ya pesa yetu matapeli wakubwa nyie.
