D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Haijajulikana sababu rasmi lakini ni swala la muda tu, kufahamu sababu ya kuachwa kwao.Hii ndio sababu huyo dogo Ganarcho na Rashford hawapo kabisa kwenye bench leo?
Haijajulikana sababu rasmi lakini ni swala la muda tu, kufahamu sababu ya kuachwa kwao.Hii ndio sababu huyo dogo Ganarcho na Rashford hawapo kabisa kwenye bench leo?
Dogo amepatwa na nn mana naangalia livescores hapa naona ametolewa 😂Samahani wazee MOUNT kapata tatizo la kiufundi, mifumo mwilini imeshindwa kusomana, ila ni mashine ya kazi msisite kutuongezea pesa
Mount atakuja kumshika mtu uchawi...sipati picha angebaki Chelsea yeye na ndugu zake Fofana na James wangeunda kabisa whasap group hapo wodiniMount amepata tatizo la kiufundi
Cash Money ForeverYule jamaa wa chelsea anayesemaga Muongeze hela kwa mount lazima atakuja humu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe ushafikaUmechelewa Mkuu soma comments huko juu.
Hii mashine inabidi irudi kwao Buhigwe ikafanyiwe mambo ya kimila ili kuondoa mabalaa yoteGoli la uzembe wa mabeki. Wazee chukueni hii mashine ya ulinzi itawasaidia sana. Kwa sasa imepaki garage ni ya kuifanyia service kidogo tuu
View attachment 3177503
Mount mwingine aliyechangamka 😂Goli la uzembe wa mabeki. Wazee chukueni hii mashine ya ulinzi itawasaidia sana. Kwa sasa imepaki garage ni ya kuifanyia service kidogo tuu
View attachment 3177503