Tulia we Wakanda ForeverNikajua huyo YORRO ni mtu wa maana kumbe uchafu mtupu. Yaani hawa ndio walisababisha tuwafukuze kina Wan Bissaka!
Huyo dogo hatari sana ngoja Arsenal tumchukueAMAD inatakiwa acheze Barcelona sio hapa. Pale anamuweka bench hata Lamine Yamal.
Si ulihama Arsenal? Enjoy with your teamHuu sasa ujinga
Once nyumbu always nyumbuWewe safari hii hutakuwa na maisha marefu humu ndani utakimbia sababu i can tell you this time tumepata kocha ni suala la muda tu.
Punda kabisaWatoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1
Tutapiga kama ngoma.
View attachment 3171467
Onana ni kipa bora eplTafuteni kipa wa Kueleweka
MMeishia kupigwa nyinyi kama ngoma🤣🤣Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1
Tutapiga kama ngoma.
View attachment 3171467