King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,985
Tatizo ni midomoHuyu nae....
Tatizo ni midomoHuyu nae....
Bro kuwa na heshima na Chelsea hapo wewe ungejitoa huna dalili zozote za kubeba epl hata kwa miaka 10Chelsea na united tuna chukua EPL kabla yenu.
He who's laugh the last, laugh the best
chura kabisaWatoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1
Tutapiga kama ngoma.
View attachment 3171467
uyo apo nyumbani kashafika arudi kufanya Nini wewe huoni kaaza kunenepa kwa kula kuku wa Jiji la Manchester onana mshamba sana fara uyuWarudishieni Sporting kocha wao
Hii comment yako huwa inanichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😘Mlishaambiwa hakunaga muhindi akawa kocha wa football!! mkakaza fuvu!
Haya sasa ona jinsi mnavyodhalilishwa tena mpo nyumbani,mbele ya wake zenu....