Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila kuwatwanga Man U huwa kuna raha sana...mechi ya nne mfululizo tukikutana ni makonzi ya ulimi tu mnapata.....safari hii mkapigwa kwa style mpya ya Kona goli....Kuna kipindi cha mzee Wenger Ferguson alishawahi kutupangia timu yake kuanzia namba 2 mpk 11 wte ni mabeki tupu na mkatufunga ile iliniuma sana.....Sasa kibao kimegeuka....bdo January tuna jambo letu na nyny tena.....kajifundisheni kuzuia Kona tena upya halafu mje vinginevyo mtatulaumu tena tu majirani
haka nako pia ni kamdomooo
 
Kijukuu cha vasco da gama kimesema nawajua wachezaji wangu ipo siku itatokea dhahama🤣🤣🤣🤣

Anwshakaa nao mazoezini anajua timu imeoza
 
Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa kutandika hawa msitu.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁

My prediction
Manchester United 3 vs msitu 1

Tutapiga kama ngoma.
1733588327116.jpg
 
Mlishaambiwa hakunaga muhindi akawa kocha wa football!! mkakaza fuvu!
Haya sasa ona jinsi mnavyodhalilishwa tena mpo nyumbani,mbele ya wake zenu....
 
AMAD inatakiwa acheze Barcelona sio hapa. Pale anamuweka bench hata Lamine Yamal.
 
Back
Top Bottom