Bhangi mbaya sana,watu mmeshinda Kwa set pieces ila midomo imezidi wakati ligi mara ya mwisho arsenal amebeba 2005.
Tumemfukuza ten hag ambaye amecheza fainali 3 na kubemba makombe mawili 2, arteta akiwa hana kombe hata moja la maana.
Liverpool wamepata kocha mpya baada ya klopp kuondoka,lakini unaona kabisa ndani ya msimu wa kwanza kocha wao anaonesha uwezo wake wa kutaka kubemba makombe makubwa, na lazima atabeba kabla ya arteta..
Mashabiki wa arsenal Wana midomo sana, utafikiria timu yao ni bora sana, wakati niya kawaida kama Nottingham forest ana UEFA champions mbili nyie hata moja hamna kazi ni midomo tu ngoja tuone kama mtachukua ligi Kwa set pieces