Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuliko kuisema Man U kuna mambo mengi ya kimaendeleo tunaweza kuyafanya, mfano tu wengi wenu humu hamjui kutengeneza juisi ya Ukwaju, kwanini msitumie muda huu kupata huo ujuzi?Tunakobonda vzr tu, wewe had kwenye mabonanza nimekupiga mwaka huu
Kule Carabao nakusubiria pia
Bado huna timu ya kuifunga arsenal
Kama ndani ya dk 94 umepata Kona 0, touches 6 tu Tena touch ya kwanza imekuja dk ya 43,
Hapo nilikosa key players
Glasi moja ni jero, haya ukiuza ndoo nzima utashindwa kujenga?