Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,542
- 81,340
Kikundi cha wahuni
Kila mpinzani safari hii mtawaona Bora kwasababu ya ubovu wa team yenu,hiyo team ikikutana na Chelsea,Arsenal na Liverpool tena utaona inafungwa vizuri tuHawa Ipswich walimfunga spurs kwake....msichukulie poa
Watapigwa kama ngoma.Meaka wa 10 mna wachezaji wengi wale wale mna taka kubadilika kweli ? Ona madrid,Chelsea, arsenal zinavyo badili watu ..mtu una Evans hadi leo 😅😅rashford ,eriksen dadeki
Hatafanikiwa kwa sababu 90% ya kikosi chake hakina Tena future.Ruben amorim amekuja kumnyoosha kipara wa mancity.