Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Leo kocha ndo atajua kuwa haya majamaa kwenye mazoezi yanaweza kukuimpress ukaona yanakuelewa sana ila yakija uwanjani ndo wapuuzi watupu yanaruka tu.
Hadi Antony?Hua nashangaa sana hizi timu. Naona wanaugua ugonjwa wa akili..timu yako ina pointi 9 eti unakutana na man utd unaikazia ndo unajifanya kucheza kwa speed na patern ..naona hii ni kuoshea tu hawana uwezo wowote, wangekua wanacheza hivi wangekua huko top 3 wanagmbania top 3 na akina liverpool..
Tukirud kwa man utd timu nzima inatakiwa kufukuzwa ama aachwe Diallo tu. ..fukuza takaktaka zote.
Dk 30 za nyongeza mtaongeza magoli mengineKikosi cha Bwenyenye Sir Jim barobaro boys wanashuka leo hawa hapa twende nalo 💪
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁
My prediction
Ipswich Town 1 vs Manchester United 4
watapigwa sana hawa wakora.
View attachment 3160499
Unakumbuka panga lililopita msimbazi?Hadi Antony?
Wewe upumbavu ni kipaji chakoNiliwaambia mtafute kipa wa kueleweka la sivyo mtataabika mpaka ujio wa Yesu.
Ali wanunua yeye tena kwa pesa mingiKipara mlikuwa mnamuonea tuu, mna wahuni na sio wachezaji, em angalieni wachezaji waliopo Chelsea n mara buku ya wale wehu wenu 😎