Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Hatafanikiwa kwa sababu 90% ya kikosi chake hakina Tena future.Ruben amorim amekuja kumnyoosha kipara wa mancity.
Ruben Amorim anatakiwa aanzishe project mpya kwa kuwatumia.
Onana, Maguire, Yoro na Lisandro na Mazroui kwenye defence yake.
Midfield ambakize Ugarte na Mainoo peke yake wengine aingi pale academy apate wachezaji wawili watatu.
Kwenye attack huku fumua wote Leta watu wanaoweza kutumia akili badala ya nguvu.
