Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Hawa nyumbu soon wanampata Ten Hag ll
Ruben Amore umekuwa nyota yangu amore
Ruben Amore umekuwa nyota yangu amore
Ten hag kaondoka lkn katuachia moja ya sajili masterpiece kuwahi kutokea kwenye history ya nyumbu yunaited...jamaa game yake ya kwanza akawafunga yatima fc nyumbu zikajua zimepata mtu kumbe zilipigwaView attachment 3138062


Sajili mbovu zaidi kwangu mimi naona ni lile galasa lenu mlilotupiga kwa £60m, halafu mbaya zaidi likapewa mpaka jezi ya heshima number 7.Sasa ni zamu ya wareno kujazana Man UManchester United have presented a three-year contract to Ruben Amorim, with a salary of €7/8m per year. #MUFC [@abolapt]
Naona bora timu wangemuachia tu Ruud van Nistelrooy tukapima kwanza upepo mpaka Christmas ili tujipange kutafuta kocha wa kueleweka, ila hawa wapuuzi wanaweza wasimlete hata huyo mreno Ruben Amorim wakatuletea Southgate au lile ndondocha la Chelsea(Graham Potter)Sasa ni zamu ya wareno kujazana Man U
Man U wana mahusiano mazuri na ya muda mrefu sana na SL namuona jamaa akitua OTNaona bora timu wangemuachia tu Ruud van Nistelrooy tukapima kwanza upepo mpaka Christmas ili tujipange kutafuta kocha wa kueleweka, ila hawa wapuuzi wanaweza wasimlete hata huyo mreno wakatuletea Southgate au lile ndondocha la Chelsea(Graham Potter)View attachment 3138202
Utasikia jamaa kazi kufuga ndevu tuu 😆After two seasons utaskia huyu akiitwa Mandevu and some funny funny names 😂😂😂View attachment 3138225
Haitwi Lampard huyo anaitwaMjaribuni Lampard
Huyu ni mwamba sana akipona hamtojuta kumsajili..tuongezeeni hata pauni mil. 10 wakuu🤣Sajili mbovu zaidi kwangu mimi naona ni lile galasa lenu mlilotupiga kwa £60m, halafu mbaya zaidi likapewa mpaka jezi ya heshima number 7.
Usajili wa Freemason ulikua ni daylight robbery, kwanza chezaji lenyewe kila likicheza mechi 2 lazima liende likakae MOI miezi mitatu, laana ya kutudhumulu hio pesa yetu haitawaacha salama kenge nyinyi. View attachment 3138174
Naona bora timu wangemuachia tu Ruud van Nistelrooy tukapima kwanza upepo mpaka Christmas ili tujipange kutafuta kocha wa kueleweka, ila hawa wapuuzi wanaweza wasimlete hata huyo mreno Ruben Amorim wakatuletea Southgate au lile ndondocha la Chelsea(Graham Potter)View attachment 3138202
Two seasons ni parefu, ikifika march urasikia sio kila mreno anajua mpira wengine ni wapelelezi.After two seasons utaskia huyu akiitwa Mandevu and some funny funny names 😂😂😂View attachment 3138225