Labda Guardiola kitu ambacho ni ngumu.Daaah hata Sina nguvu za kupendekeza aje kocha gani, coz hata ETH alionekana kifaa lakini pamemshinda.
Asa mbona mikataba yao bado ni mirefu sanaUgarte
Malacia
Mount
Anthony
Martinez
Zirkzee
Yoro
De Ligt
Hawa wanaondoka. Walikuja kwa tamaa za Erik kuliko uwezo.
Hojlund na Onana wasipostep up wanaondoka
Chaguo la WILCOX, kipara alitaka kubaki na scott.Ugarte