mfuate huko anakoenda. Team inahitaji matokeo sio hurumaMoyo wangu umeuma sana mzee kipara kuondoka sijui kwanini😥😥😥
Hujawahi kusikia mikataba inavunjwa?Hajui alichoandika. Naamini kuna wachezaji utd walishindwa kuperform kutokana na mifumo ya kocha kutokueleweka. Mfano ni Sancho akiwa utd hakuna kitu akitoka kwa mkopo anacheza vizuri. ETH alipoteza kujiamini kwa wachezaji na timu ilipoteza hamasa wachezaji hasa forward walipoteza muunganiko likawa bora liende.
Dahh! Huyu nwana anasikitisha sana🚨🚨 Antony will NOT travel to the Ballon d’Or ceremony as he has been informed by the French Football Association that he will not win.
Msimu huu makombe ndio basi tena, Baba Ubaya alikua anajichukulia zake makombe kwa steps.
Msimu wake wa kwanza kabeba Carabao, Msimu ulioisha kachukua FA, msimu huu tulikua tunabeba Europa kabisaaa, ni vile tu figisufigisu za Masingeli na genge lake wamemlisha maneno tajiri mwembamba Sir James Arthur Ratcliffe mpaka kamla kichwa baba wa watu. View attachment 3137380


nimecheka kifala 

Eti nitaenda kuchukua vikombe kwingineUkitaka kujua jamaa alichanganyikiwa kufikia huku mwishoni ni jinsi alivyokua anapata matokeo mabovu ila anajibu kwa kujiamini na dharau, na anasema akifukuzwa ataenda kuchukua makombe kwingine.
Yes au klopp kitu kigumu piaLabda Guardiola kitu ambacho ni ngumu.
Kwani Sasa hivi Sancho anacheza vizuri huko aliko ?Hajui alichoandika. Naamini kuna wachezaji utd walishindwa kuperform kutokana na mifumo ya kocha kutokueleweka. Mfano ni Sancho akiwa utd hakuna kitu akitoka kwa mkopo anacheza vizuri. ETH alipoteza kujiamini kwa wachezaji na timu ilipoteza hamasa wachezaji hasa forward walipoteza muunganiko likawa bora liende.
Ulikuwa umeanza vizuri sana, ila ulipomtaja sanchoka!!😅🙌Hajui alichoandika. Naamini kuna wachezaji utd walishindwa kuperform kutokana na mifumo ya kocha kutokueleweka. Mfano ni Sancho akiwa utd hakuna kitu akitoka kwa mkopo anacheza vizuri. ETH alipoteza kujiamini kwa wachezaji na timu ilipoteza hamasa wachezaji hasa forward walipoteza muunganiko likawa bora liende.
Anyone with brainWale Ten Hag out nani anatufaa?
Masebene si huyu hapa jana hiyo🚨🚨 Antony will NOT travel to the Ballon d’Or ceremony as he has been informed by the French Football Association that he will not win.
Juma Mgunda kakaWale Ten Hag out nani anatufaa?
Manchester United have presented a three-year contract to Ruben Amorim, with a salary of €7/8m per year. #MUFC [@abolapt]
Ruben Amorim has given initial green light to Manchester United. He's keen on joining the club, accepting the project and the terms discussed. #MUFC [@FabrizioRomano]
Ruben Amorim has given initial green light to Man United. He's keen on joining the club, accepting the project and the terms discussed.