xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,921
Arteta ni kocha?Kuna kipindi hali mbaya wakamuongezea mkataba.
Halafu kila kocha anayefananishwa na Arteta anafukuzwa.
Ole, De Zerbi, Chuck Norris,
Sasa mchukueni Fabian au yule Nagelsman
Arteta ni kocha?Kuna kipindi hali mbaya wakamuongezea mkataba.
Halafu kila kocha anayefananishwa na Arteta anafukuzwa.
Ole, De Zerbi, Chuck Norris,
Sasa mchukueni Fabian au yule Nagelsman
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimu huu makombe ndio basi tena, Baba Ubaya alikua anajichukulia zake makombe kwa steps.Dah roho imeniuma sana Mimi kama mfihadhina ,
Nani Tena atatupa furaha
ETH ameonewa
HapanaArteta ni kocha?
Hajui alichoandika. Naamini kuna wachezaji utd walishindwa kuperform kutokana na mifumo ya kocha kutokueleweka. Mfano ni Sancho akiwa utd hakuna kitu akitoka kwa mkopo anacheza vizuri. ETH alipoteza kujiamini kwa wachezaji na timu ilipoteza hamasa wachezaji hasa forward walipoteza muunganiko likawa bora liende.Asa mbona mikataba yao bado ni mirefu sana
mfuate huko anakoenda. Team inahitaji matokeo sio hurumaMoyo wangu umeuma sana mzee kipara kuondoka sijui kwanini😥😥😥
Hujawahi kusikia mikataba inavunjwa?Hajui alichoandika. Naamini kuna wachezaji utd walishindwa kuperform kutokana na mifumo ya kocha kutokueleweka. Mfano ni Sancho akiwa utd hakuna kitu akitoka kwa mkopo anacheza vizuri. ETH alipoteza kujiamini kwa wachezaji na timu ilipoteza hamasa wachezaji hasa forward walipoteza muunganiko likawa bora liende.