Last mechi mbona kacheza ,wewe ndio huangalii mechi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli siku hizi haungalii mpira?
Hebu nitajie mechi moja tu uliyomuona Jesus akicheza baada ya kufanyiwa hili tukio la kidhalilishaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli kwani Bournemouth kafanya nini, mbona matusi yamekua mengi kwenye jukwaa la Asaninyau?ETH uishi miaka mingi, sio kwa Raha hizi tunazopata wapinzani
.ETH uishi miaka mingi, sio kwa Raha hizi tunazopata wapinzani