ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,992
MAGUIREEEEEEEEEE.......3-3Huyu De Ligt tumepigwa...MAGUIRE wetu arudi tu.
MAGUIREEEEEEEEEE.......3-3Huyu De Ligt tumepigwa...MAGUIRE wetu arudi tu.
Au siyo 😅Leo wako serious hawa jamaa
BF kuna muda apumzishwe, kila mechi wanampanga tu.Bruno 🚮🚮
Unadunda tu kwenye ardhi ya MolaHii timu Mimi nishaacha kushabikia na kuangalia mechi zake toka Kitambo , siamini siku hizi sijui hata sijui Man U huwa inacheza lini nashangaa naona watu kwenye status na hata ikifungwa nipo fresh siumii na kuiwazia kama Zamani.
Kuishabikia Man U nikutafuta mateso ya kujitakia tu.
Kuna Pepe mdogo anakichafua hatari yule Mzee alishastaafu soka.Yaani hadi mtu mzima Pepe alisha sahau kushangilia goli nae katupia kambani doh
[emoji1][emoji1]Manchester United will have to pay Erik Ten Hag around £17.5M if they sack him.
And after tonight, it's clear Ten Hag wants that money ASAP.[emoji23]