Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,205
- 76,686
Katika wachezaji uliotaja kwamba wanaanzia benchi wote siyo goal scorer wazuri sana.Wachezaji wakiwa hawana ubora maana yake nini watajituma sana and the end itahitajika Quality na consistent performance hapo ndio utajua ilikuwa nguvu ya soda but kwa Enzo Maresca kaletewa watu wamaana we fikiria Neto, Jaoa felix, Nkuku, Mudryk wanaanzia benchi wakati kwa team kama zingine wanaanza first eleven
Kocha wenu amejua hili mapema. Amejua kwamba hakuna defense nzuri hivyo ni bora awe na scorers huku defense ya kuungaunga hii itamaanisha anashinda bila clean sheet.
Akiwaweka hao atafungwa, mtakua na chances created nyingi na kosakosa nyingi.