Huyo akirudi jf, hili jukwaa linakua mali yakeBado siamini yule msemaji wa arsenal hamis77 bado hajatoa comment yake humu kulingana na tunayopitia.
Ameokoka au ana changamoto gani hadi leo yuko kimya tu.
Hamis yupo twitter, ndio maskani yake kuu siku hiziBado siamini yule msemaji wa arsenal hamis77 bado hajatoa comment yake humu kulingana na tunayopitia.
Ameokoka au ana changamoto gani hadi leo yuko kimya tu.
Hii timu inazingua sana weekend hata huwezi kutamba kijiweni mzee Ferguson alituacha vibaya
Jambo jema. Ligi iendeshwe kwa haki
Mitano tena kwa jasusi
Na uko X bado ana bifu na 10Hhag pamoja na kijana wake anthony?Hamis yupo twitter, ndio maskani yake kuu siku hizi
Na mechi irudiwe maana hii kadi ndio ikaleta dhahma yote ile
Hapana mkuu tulishakaa kibra hata kabla ya kadi ya el capitano Bruno.Na mechi irudiwe maana hii kadi ndio ikaleta dhahma yote ile