Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Sijui hali ako nayo huko alipo😁😁Umenichekesha sana kaka
Sijui hali ako nayo huko alipo😁😁Umenichekesha sana kaka
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah huyo mnyama sasaNi muda wa huyu munyama kuwa subbed on
akabadilishe matokeoView attachment 3110426
Kwan kocha si ndio ana pendekeza watu gani wasajiliweNilipomuona mechi ya Barnsley nilitikisa kichwa, tusipokuwa makini tutaendelea kuteseka.
Ni bora usisajili kama liverpool kuliko kusajili mchezaji asiyekuwa sahihi.
PSG wameongeza 10 million ya thamani ya UGARTE, wamemsajili joao Nevez
View attachment 3110501
😂😂😂😂😂😂😂Kwanini afukuzwe? Mbona hamumpendi Baba wa watu?
Hamjui kama ana familia inamtegemea? Watoto wake watakula wapi?
Baba ubaya Mitano tenaView attachment 3110459