arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,355
- 4,399
Kasema mkimfukuza anaenda kuchukua makombe sehemu nyingine🤠🤠🤠....mzee ana mikwara sana....Sasa Hawa Spurs wanawatindua hivi siku mkikutana na wazee wa Haram football si mtakula kono la nyani nynyTumpe muda mpaka azeeke united alichobakisha kipara ni kutushusha daraja tu basi. Akaanze nayo upya