Ten hag asipofukuzwa after hii mat ch sijui tenaHamna timu hapa
Bado watampa mudaTen hag asipofukuzwa after hii mat ch sijui tena
Ttz watapisha wangapiEtH atupishe..
Muandike barua FA ya kuomba kujitoa kwenye mashindano ya EPLDaahhh sasa hivi kila timu inatamani zaidi kucheza Old Trafford kuliko kwenye dimba lao la nyumbani.
#Kwetu kama kwao.
Muwashukuru Spurs wamekuwa waungwanaDaahhh sasa hivi kila timu inatamani zaidi kucheza Old Trafford kuliko kwenye dimba lao la nyumbani.
#Kwetu kama kwao.
Ndio uwezo wao ulipoishia hapo.Hii timu kuna mgomo ama
MKuu uligeuza matokeo yako!Watoto wa bwenyenye Sir Jim hawa hapa.
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha 😁 😁 😁
My prediction
Man united 3 Vs Tottenham 1
watapigwa sana wale.