Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Inabidi bwana Diddy amualike kwake ampe mbinu za kuwafanya wachezaji wawe Bora.
Aende tu, game ijayo ndio mwisho kuangalia tukipgwa , staangalia mpaka atimuliwe au tukwee top4Vipi bado tuendelee kumuamini 7Hag au akili zimesha wakaa sawa tayari?
Alafu kuna mwingine wakuitwa Zirkizee aisee mara elfu weghorstkulipa paundi millioni 50 kwa mchezaji mfano wa manuel ugarte ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha.
Mkuu hapo tutaona kila mchezaji mmbaya lakini kiukweli kocha hamna kitu.kulipa paundi millioni 50 kwa mchezaji mfano wa manuel ugarte ni matumizi mabaya ya rasilimali fedha.
Kwa ile kauli tu ilitakiwa mabosi wa Utd baada ya mechi wamtimue...ten hag anawa sabotage....wameleta Kila silaha...sijui Ugarte sijui Zirkzee sijui yule shehe mwenye mandevu beki 2 lakini wapi....wanachokifanya uwanjani wanakijua wenyewe.....Hawa jamaa wanatulazimisha sana kuwasema....hatupendi kuwasema ila hatuna namnaKabla ya mechi Erik akasema inamuuma sana kuumiza kitu unachokipenda.
Alitoa kauli hiyo kwakua alikaa na FC Twente kwa muda mkubwa hivyo alidai ataipiga kipigo cha mbwa mwizi ila itamuuma sana
Siku hizi wamebaki kutafuta pa kufutia machungu kujifanya mashabiki wa CityKwa ile kauli tu ilitakiwa mabosi wa Utd baada ya mechi wamtimue...ten hag anawa sabotage....wameleta Kila silaha...sijui Ugarte sijui Zirkzee sijui yule shehe mwenye mandevu beki 2 lakini wapi....wanachokifanya uwanjani wanakijua wenyewe.....Hawa jamaa wanatulazimisha sana kuwasema....hatupendi kuwasema ila hatuna namna
Siku hizi tunaombea arsenal asichukue kombe tu ndio mafanikio yetu ya msimu.Siku hizi wamebaki kutafuta pa kufutia machungu kujifanya mashabiki wa City
Sasa kocha mwenye matatizo yote haya mkuu anakuwaje kocha mzuri ?Ten Hag is a good manager. He just needs to improve his tactics, coaching, man management, defensive structure, press, substitutions and talent ID.
Inabidi bwana Diddy amualike kwake ampe mbinu za kuwafanya wachezaji wawe Bora.
Mashabiki wenzangu ndio akili zao hizo, wanaona yuko sawaSasa kocha mwenye matatizo yote haya mkuu anakuwaje kocha mzuri ?
Sikiliza ww 7+3 hag ni kocha mzuri mkomalieni atawafikisha mbali sana anahitaji muda aunganishe team maana chemisty yake inahitaji muda zaidi si umeona mechi mliyoshinda tatu bila ile eeh pale gari ndio linawaka sasa ten hag ni zaidi ya pep guardiolaMashabiki wenzangu ndio akili zao hizo, wanaona yuko sawa
Mkuu mimi mashindano ya ueropa nilishaga ya kata sio hadhi yetu kama man u kwaiyo uji kunikuta nafatilia iyo michezo hadhi yetu sisi ni uefa tu.allypipi mkuu jana hatujaona kikosi ukipost km kawaida yako