😅Man u tumewapa over 1.5 wajomba msituangushe
Punda kabisaWatoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro boys hawa hapa twende nalo.
My prediction
palace 1 Vs Manchester United 3
Watapigwa sana wale vijana pale.View attachment 3102232
Hiki kikosi cha leo na kile mlichocheza na liva ni katoka Casemiro na kuingia Eriksen na katoka Rashford kaingia Amad.Kikosi cha utd kilichoanza leo ndio kinapaswa kuwa kikosi cha kwanza labda aongezeke Ugarte na Hidjlund
Hujui mpira wewe ukute ni shabiki wa Arsenal ambaye msimu wa tatu huu hamjachukua kombe hata la mbuzi. Hivi leo pale utd utamlaumu nani zaidi ya kupongeza ubora wa kipa wa Palace ambaye ni zao la utd? Muwe mnaheshimu mpira sio mchezo wa mdako ule. Time ya kikosi cha kwanza imecreate a lot of chances ambazo kipa wa Palace ndio alikuwa kikwazo. Bado ya kuingia Rashford tu timu ilipooza.Hiki kikosi cha leo na kile mlichocheza na liva ni katoka Casemiro na kuingia Eriksen na katoka Rashford kaingia Amad.
Nyinyi bado hamna kikosi cha kusumbua timu zote, mna kikosi cha uhakika cha kumfunga Barnsley labda timu zingine inabidi mpige ana anado nani aokoe jahazi
Punguza hasira.Hujui mpira wewe ukute ni shabiki wa Arsenal ambaye msimu wa tatu huu hamjachukua kombe hata la mbuzi. Hivi leo pale utd utamlaumu nani zaidi ya kupongeza ubora wa kipa wa Palace ambaye ni zao la utd? Muwe mnaheshimu mpira sio mchezo wa mdako ule. Time ya kikosi cha kwanza imecreate a lot of chances ambazo kipa wa Palace ndio alikuwa kikwazo. Bado ya kuingia Rashford tu timu ilipooza.
Hii move hatari sana, bahati nzuri ilienda vizuri akapata yellow, angekanyaga mguu wa mtu red card straight.
Mbona hamumpongezi onana.. Kwa sababu Onana ndo ka save clear chance kuliko Kipa w PalaceNadhani team ilicheza vizuri sana kipa wa Palace anastahili pongezi kubwa.
Naanza kuelewa mipango ya kocha labda baada ya mechi saba au nane tunaweza kuiona team ikicheza bila unyonge.
Kikosi cha utd kilichoanza leo ndio kinapaswa kuwa kikosi cha kwanza labda aongezeke Ugarte na Hodjlun
Ona mjingà huyu. Yaani erickson awe 1st eleven?Kikosi cha utd kilichoanza leo ndio kinapaswa kuwa kikosi cha kwanza labda aongezeke Ugarte na Hodjlund