Tumeona kipigo cha mbwa kokoKabla ya mechi Erik akasema inamuuma sana kuumiza kitu unachokipenda.
Alitoa kauli hiyo kwakua alikaa na FC Twente kwa muda mkubwa hivyo alidai ataipiga kipigo cha mbwa mwizi ila itamuuma sana
Ten Hag atupishe
mashabiki wa man u waliokuwa upande wa huyu zombi kwenye mgogoro wake na ronaldo wanajielewa kweli?View attachment 3106788
Ni kwa sababu mmekua wasindikizaji kwenye makombe ya maana miaka nenda rudiMashabiki wa hii timu ukiwatafakari akili zao unakosa majibu. Yaani wanapata wapi ujasiri kuja kutupigia kelele kwenye jukwaa letu la Arsenal?
Kitendo Cha kutakiwa kuimprove tafsiri yake ni hatoshiTen Hag is a good manager. He just needs to improve his tactics, coaching, man management, defensive structure, press, substitutions and talent ID.