ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,550
- 7,988
Ni Kocha wa hovyo sana...yule alisema ni jasusi la uholanzi hakukosea. Haiwezekani kila usajili wake ni Mholanzi au awe amepitia Ajax.Niliombea EtH abakishwe sio sababu namuelewa sana ila kwa kuwa replacement yake ingetuchukua muda mrefu zaidi kumtimua tofauti na yeye ni wa kuhesabiwa mechi tu, Boom!!!