Mkuu huu Muda ungetumia kufunga kuombea Arsenal yamkini maombi yako yakafanya kazi mkashinda ubingwa😂kuliko kutuwaza sisiKosi lipi linacheza leo wadau?
Varane tayali, Ericksen kaomba kuondoka, Amrabati Ten hag kasema sio chaguo lake, Casemiro pumzi imeshakata, Evans alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja..OUT
1. Varane
2. Eriksen
3. Antony
4. Bissaka
5. Heaton
6. Evans
7. Amrabat
8. Casemiro
9. Lindelof
10. Scot/Maguire
Kipara atakuwa na kazi ngumu sana next season kuzidi hii aliyonayo.
Ubingwa ulishaenda na maji kitambo tu.Mkuu huu Muda ungetumia kufunga kuombea Arsenal yamkini maombi yako yakafanya kazi mkashinda ubingwa😂kuliko kutuwaza sisi
Mnakata tamaa mapema😂westham wenyewe walisema tangu mwanzo wataamua nani awe bingwa😬Ubingwa ulishaenda na maji kitambo tu.
Bora tukae humu tucheki mbwembwe za kosi la bwanyenye sir jim linavyoipa dunia furaha.
Naona anaigiza baada ya mechi kuisha, wanarap tu badala ya kuchukua kombe ili kesho magazeti na mitandao wapige pesa.Mkataba wa ERICKSON utakuwa na vipengele gani? Panga pangua hata awe m'bovu kiasi gani lazima acheze.
Pep ndiye mwenye hayo maamuzi. Arteta sijui alijisahauje wakati yeye ndiye aliyempa mbinu kibao tu Pep...Mnakata tamaa mapema😂westham wenyewe walisema tangu mwanzo wataamua nani awe bingwa😬
Kwa hiyo kule kwenu mnaaminishana kuwa arteta kamzidi mbinu kipara??😀Pep ndiye mwenye hayo maamuzi. Arteta sijui alijisahauje wakati yeye ndiye aliyempa mbinu kibao tu Pep...
Siyo hivyo, bali ameshirikiana naye sana na anamjua vizuri kuliko makocha wengi. Hivyo anaelewa kuliko wote kwa nini Kipara hapaswi kupewa upenyo hata mdogo kiasi gani katika mapambano ya ubingwa.Kwa hiyo kule kwenu mnaaminishana kuwa arteta kamzidi mbinu kipara??😀
Siyo hivyo, bali ameshirikiana naye sana na anamjua vizuri kuliko makocha wengi. Hivyo anaelewa kuliko wote kwa nini Kipara hapaswi kupewa upenyo hata mdogo kiasi gani katika mapambano ya ubingwa.






UTD imefeli kwa sababu ya kutojua ni Muda gani sahihi wa kufanya Dili zake na wachezaji kuhusu Mikataba na Ishu ya Sajili Pia.Hauko serious mkuu.
Rashford
Garnacho
Bruno
Mainoo
Hojlund
Dalot
Martinez
Ndiyo base ya msimu ujao na misimu mitano ijayo huwezi ukauza your best players. Kwa hasira tu.
Luke Shaw
Malacia
Mount
Bado wanaweza kupata second chance kama tukipata versatile fullback anayeweza kucheza flanks zote.
Hao watoto wa academy wapo wengi watarejea kutoka kwenye loan deals haieleweki hatma zao.
1. Greenwood anaweza kuuzwa kupoza makali ya FFP rules
2. Pelistri
3. Charlie Savage
4. Alvaro Fernandez
5. Zidan Iqbal japo sina hakika kama hakuuzwa mazima.
Huo ndio ukatili wa mpira wa miguu 😄😄😄. Ila yote maisha tu.Arsenal msipo chukua kombe nitawashangaa sana. Misimu miwili mpo on fire lakini mnatoka bila hata kombe la chai?
Mnaotofauti gani na Chelsea ambaye hayupo kwenye form?
Na Chelsea anaweza kupona akabeba kombe hata kabla yenu mlioko kwenye form![]()
Ndo maana nikasema nyie hamjifunzi kila siku ngoja tutakuja sisi tuwaonyeshe..Siyo hivyo, bali ameshirikiana naye sana na anamjua vizuri kuliko makocha wengi. Hivyo anaelewa kuliko wote kwa nini Kipara hapaswi kupewa upenyo hata mdogo kiasi gani katika mapambano ya ubingwa.
INEOS wamerecruit waingereza watupu kwenye key positions za timu na wote wametoka mid table teams na vilabu walivyotoka vina waingereza wengi kuliko foreigners hiyo inatosha kukupa picha tunakoelekea.Tuone INEOS watakuja vip
Binafsi nitawaamini kwenye usajiri kwanza