Lol! Asante sana b..., ila imekuwa vizuri imekuja mapema hii mechi, tumepata pa kupima changes ambazo tumefanya kwenye kikosi chetu.B… Mdakuzi nakuahidi leo sitoleta mjadala wa hii mechi, acha ibaki hivihivi.
Pole sana.
Taratibu taratibu wataelewa tu.Has spent almost half a billion and in his 3rd season at United and we still have NO IDEA what his style of play and tactics are
View attachment 3084521
yani hapo utazani ni mtu kweli ana andaa tactics kumbe anamuandikia casemiro barua yakuazima charger ya type c akitoka uwanjaniUzuri mashabiki wanajifanya wanachambua tuvitu vitu, na mimi nawapa tuvitu
View attachment 3084511
Ukimwona kapiga suti utadhani kuna kocha kumbe wapi.Uzuri mashabiki wanajifanya wanachambua tuvitu vitu, na mimi nawapa tuvitu
View attachment 3084511
Game 3 tushapigwa 2 na goli negative10han is cooking ila hii itakua sumu ya mamba anayopika.




Kumleta Zirkzee ndo usajili wa maana?Share holder wapya walifanya vizuri sana katika usajili, ila wamejipaka matope kumuacha 10 hag abakie, timu inauogopa mpira aisee