bado pakti mojaNgapi huko?
Mmeshakula chuma 3 hukoLeo ni Leo asie na mwana abebe jiwe.
Watoto wa bwenyenye Sir Jim barobaro wanashuka leo kwenda kumfunza adabu mzee kipara.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16] [emoji16] [emoji16]
weweeeeeh
My prediction
Manchester United 2 vs Watoto wa mzee kipara Big head 1
[emoji355]12:00 jioni
[emoji2522]Old Trafford
Watapigwa sana wale vijana wa mzee kipara Big head.View attachment 3084172
Mi nilishawaambia hawagusi tena ile nafasi ya kwanzaFlano na kina ARV wapo wapi....wanaridhika kabisa na hii Hali kweli??...Sasa kama home kwako unatunguliwa hivi ukienda huko kwa watu itakuwaje Sasa...niliwaasa wajitahidi huu msimu Ili tusiwaseme sana lakini wapi....mechi ya tatu ya msimu unacheza kama unakaribia kumaliza ligi yaani umechoka kabisa...inasikitisha sana
Hadi unaona nyumbu wenyewe wanacheka, hii timu ilishakufa kitambo Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nina wasiwasi hawa nyumbu huenda Carrington wameigeuza kua nightclub badala ya uwanja wa mazoezi.
Tatizo la Man U ni kocha. Hili tangu mwanzo lilionekana ila basi tu watu ubishi wao.Chonde chonde msije kumfukuza professa wa mpira super ten hag
Tuzidi kumpa muda mazuri yanakuja
Sisi Kama mashabiki wa washika bunduki (Arsenal) bado tunaimani na ten hagTatizo la Man U ni kocha. Hili tangu mwanzo lilionekana ila basi tu watu ubishi wao.
Uwezo Ten Hag ni wa kawaida, ligi imemzidi uwezo.
Ten Hag huwa namuona ni mwanasiasa.Eras come to an end 😄
Pep na mafanikio yake yote bado hawezi kutoa tambo za namna hii
Anashinda njaaMan Utd anashimda leo
Timu apewe Van nisterooy aendeleze gurudumuTen Hag huwa namuona ni mwanasiasa.
Hawezi kwa namna yoyote, Hojlund mpambanaji sana.simuoni zirkzee kama anaweza kumuweka bechi hojlund