K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 4,164
- 13,435
Anashinda njaaMan Utd anashimda leo
Anashinda njaaMan Utd anashimda leo
Timu apewe Van nisterooy aendeleze gurudumuTen Hag huwa namuona ni mwanasiasa.
Hawezi kwa namna yoyote, Hojlund mpambanaji sana.simuoni zirkzee kama anaweza kumuweka bechi hojlund
Chonde chonde msije kumfukuza professa wa mpira super ten hag
Tuzidi kumpa muda mazuri yanakuja



Tungewachabanga 10 leoKuna muda commentators walisema tushukuru kwamba arne slut akitangulia goli mbili anabaki anatawala mechi hadi iishe, angekua clop maji tungeita mma
Hana kitu huyo!Sisi Kama mashabiki wa washika bunduki (Arsenal) bado tunaimani na ten hag
Share holder wapya walifanya vizuri sana katika usajili, ila wamejipaka matope kumuacha 10 hag abakie, timu inauogopa mpira aiseeTungewachabanga 10 leo
Erik ten Hag back in 2022 when he joined Manchester United:
“I admire both, Manchester City and Liverpool. They play fantastic football. But eras come to an end.” 🫣![]()

Tunatafakari..Flano na kina ARV wapo wapi....wanaridhika kabisa na hii Hali kweli??...Sasa kama home kwako unatunguliwa hivi ukienda huko kwa watu itakuwaje Sasa...niliwaasa wajitahidi huu msimu Ili tusiwaseme sana lakini wapi....mechi ya tatu ya msimu unacheza kama unakaribia kumaliza ligi yaani umechoka kabisa...inasikitisha sana
Hadi unaona nyumbu wenyewe wanacheka, hii timu ilishakufa kitambo Sana
Moderator unganisheni huu Uzi na kula tunda kimasihara


Kwa hivi sasa furaha pekee ya Nyumbu hua tunaipata kwa Arsenyau kufungwa au kukosa kombe.
Mkuu mbona umefuta comment yako kule jukwaa la Majogoo?Kwa hivi sasa furaha pekee ya Nyumbu hua tunaipata kwa Arsenyau kufungwa au kukosa kombe.
Shabiki yoyote wa Utd anaetegemea kupata furaha kupitia hii timu ataishia kua disappointed tu na huenda akaichukia mpaka burudani yenyewe ya soka.