Mwakani chelsea tutamchukuanaungane na vijana wenzake mtu wa maana kabisa huyuMason Greenwood: dakika mbili, magoli mawili
Hata nami, huwa siamini kama leo hii huyu ndiyo kuwa tegemeo kwa nafasi hiyo. Anabebeshwa mzigo mkubwa usio wa size yake!Sitachoka kusema tena na tena kwamba Mainoo sio wa kikosi wa cha kwanza
Anakomaa, ana mwanga sana uyu dogo, janja afu Hana presha.Hata nami, huwa siamini kama leo hii huyu ndiyo kuwa tegemeo kwa nafasi hiyo. Anabebeshwa mzigo mkubwa usio wa size yake!
Manchester yakubadilika huwa mnanishangaza sana mashabiki ylwa man u😅😅😄🥲Binafsi naona timu sasa inaenda kukamilika hapa anatakiwa Sancho asepe na Rashford tupate watu wa maana kule mbele.
Ushaanza lawamasimuoni zirkzee kama anaweza kumuweka bechi hojlund