Introvert Music
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,045
- 2,825
Asante sana nimeshakaribia nimehama Manchester united timu bovu sanaaPole sana karibu Liverpool
Asante sana nimeshakaribia nimehama Manchester united timu bovu sanaaPole sana karibu Liverpool
Kwa muda Ferguson alioondoka timu ingeweza kua na identity mpya.Hii timu mimi nazitupa lawama kwa fergie moja kwa moja.....
Babu hakutaka mabadiliko ya kiuchezaji kwenye soka lake means hata mfumo wa soka la kisasa hakuutengeneza
Babu alituachia timu mbovu ambayo isingeweza kumaintain kwenye ubora hata miaka miwili mbele na hili tumeliona
Babu aliacha structure mbovu mno ya kiuchezaji ambayo mpaka leo makocha wanahaha kuiondoa klabuni na kuleta structure ya soka la kisasa
Mateso yote haya chanzo ni fergie tu lawama nazitupa kwake kwa asilimia mia...........wenga kaacha msingi mzuri mno wa kiuchezaji kiasi kwamba makocha waliokuja hawajateseka sana kimfumo wao waliamua kusajili wachezaji wanaoendana na mfumo walioukuta ingawa kubeba makombe kwao ni mtihani......klopp anasepa liverpool ameiacha timu ikiwa na stucture yake ya kiuchezaji kocha mpya hapati tabu kutembelea huu mfumo alioukuta na hata pep akisepa akija kocha hatopata tabu kabisaaaaa...
Fergie aliiacha united ikiwa na mfumo wa pasi tatu goli hakutaka kabisa kubadilika kiuchezaji wakati mwenzie wenger tayari alishaachana na huo mfumo na kuijenga aseno hii ya kisasa kiuchezaji waliomuita profesa hawakukosea............
Timing nzuri ya kubadilika kiuchezaji fergie alipaswa aianze pale tu alipotetemeshwa wembley na barcelona leo hii makocha wapya wasingeteseka hivi kutengeneza structure ya kiuchezaji na wala tusingebadilisha makocha hovyo hivi kama nguo
Malalamiko fc...Hii timu mimi nazitupa lawama kwa fergie moja kwa moja.....

Babu anaondoka katuachia mfumo wa 442 lawama zangu hapa alipaswa kubadilika kiuchezaji kama mwenzie wenga toka pale game ya wembley aliyotetemeshwaKwa muda Ferguson alioondoka timu ingeweza kua na identity mpya.
Hizi lawama unapeleka kusiko
Kama nakumbuka vizuri Arsenal imekua na infield technical nzuri kabla hata ya Wenger.Babu anaondoka katuachia mfumo wa 442 lawama zangu hapa alipaswa kubadilika kiuchezaji kama mwenzie wenga toka pale game ya wembley aliyotetemeshwa
Hivi unajua kipindi kile aseno tulikuwa tunamfunga kiujanjaujanja tu na sio soka la uwanjani maana walikua wanacheza mpira wa pasi na unaovutia mno ambao ndio msingi wa soka la leo na ndio maana kuna mechi tulichezesha mabeki saba........wenga aliibadilisha aseno kutoka soka la ovyo mpaka hili soka tamu unaloliona leo.....tunamfunga aseno ila ukiangalia umiliki wa mpira baada ya full time unachoka😃😃😃
Yule mzee huu mpira wa leo hakuuona kwenye maono yake na ndio unaotupa tabu mpaka leo kuucheza tunaishia fukuza makocha tu
Kweli kabisa huwezi kumlaum Fergie miaka mingi sasa watu wanapewa kazi wanazingua.Kama nakumbuka vizuri Arsenal imekua na infield technical nzuri kabla hata ya Wenger.
Graham alileta mapinduzi ndani na nje ya uwanja kwa Arsenal. Ferguson hana kosa
Man u kocha tu ndio kiazi, sio babu Wala mifumo sijui, maana kizazi chababu hakuna pale.Hii timu mimi nazitupa lawama kwa fergie moja kwa moja.....
Babu hakutaka mabadiliko ya kiuchezaji kwenye soka lake means hata mfumo wa soka la kisasa hakuutengeneza
Babu alituachia timu mbovu ambayo isingeweza kumaintain kwenye ubora hata miaka miwili mbele na hili tumeliona
Babu aliacha structure mbovu mno ya kiuchezaji ambayo mpaka leo makocha wanahaha kuiondoa klabuni na kuleta structure ya soka la kisasa
Mateso yote haya chanzo ni fergie tu lawama nazitupa kwake kwa asilimia mia...........wenga kaacha msingi mzuri mno wa kiuchezaji kiasi kwamba makocha waliokuja hawajateseka sana kimfumo wao waliamua kusajili wachezaji wanaoendana na mfumo walioukuta ingawa kubeba makombe kwao ni mtihani......klopp anasepa liverpool ameiacha timu ikiwa na stucture yake ya kiuchezaji kocha mpya hapati tabu kutembelea huu mfumo alioukuta na hata pep akisepa akija kocha hatopata tabu kabisaaaaa...
Fergie aliiacha united ikiwa na mfumo wa pasi tatu goli hakutaka kabisa kubadilika kiuchezaji wakati mwenzie wenger tayari alishaachana na huo mfumo na kuijenga aseno hii ya kisasa kiuchezaji waliomuita profesa hawakukosea............
Timing nzuri ya kubadilika kiuchezaji fergie alipaswa aianze pale tu alipotetemeshwa wembley na barcelona leo hii makocha wapya wasingeteseka hivi kutengeneza structure ya kiuchezaji na wala tusingebadilisha makocha hovyo hivi kama nguo
Wew umeijua Siri karibumpaka Jana tulivyochezea kichapo na Liverpool nimehama rasmi Mimi ni shabiki wa Liverpool kilichonifanya niipende ni siku ya Jana nimeshuhudia timu langu la zamani bovu likipigiwa mpira na kudharirika tukiwa nyumbani rasmi Mimi nashabikia Liverpool najiandaa kwenda kuchukua jezi zangu zote 3 za Liverpool najua wengi mtaongea ila msinipangie maisha Manchester united imeshajifia na haitofufuka kwenye ulimwengu wa hii dunia
Sawa, sasa tunamsubri INEOS hao ndio maboss sio wewe.Kwenye goli la pili Casemiro anapoteza mpira, anadondoka, ila nyuma yake kuna wachezaji 5 wa nyumbu. Liva inaingia kwenye boksi ikiwa na wachezaje 3 dhidi ya 5 wa nyumbu
Wanashindwa kuzuia linafungwa goli.
Shabiki anamlaumu Casemiro.
Sikumbuki mara ya mwisho ni lini kuanzia 2021 Arsenal kafungwa goli la ndani ya box huku ana wachezaji 5 kwenye boksi na siyo kona wala faulo. Na siyo Arsenal pekee, timu nyingi huwezi kuzifunga ikiwa ni 3 against 5
Erik kichwa ngumu siyo kocha.
Kwa Uingereza Erik ana makombe gani?Sawa, sasa tunamsubri INEOS hao ndio maboss sio wewe.
Ana makombe ambayo sio kivuli chake lakini inahitaji tathimini nzuri kabla ya kumfukuza.
Swali: arteta akimaliza trophless msimu huu wewe unapendekeza Nini?? Abaki au afukuzwe?
Mna visingizio sana linapokuja suala la kumtetea Arteta. Wakisema uweke wazi ushahidi wa haya madai yako nina imani utaishia matamshi ya kukisia tu.Kwa Uingereza Erik ana makombe gani?
Arteta ana makombe gani?
Sioni kama Arsenal tunatakiwa kuja kumshika shati Arteta kisa makombe. He is beaten by Pep, money and arm twisting tactics
Madrid walimtaka Haaland akatua City. Hakuna anayejua signing bonus ya jamaa, mshahara wa wiki wala performance bonus.Mna visingizio sana linapokuja suala la kumtetea Arteta. Wakisema uweke wazi ushahidi wa haya madai yako nina imani utaishia matamshi ya kukisia tu.
Kidogo nilianza kukuunga mkono uliposema ameshindwa na Pep (kwa kigezo cha ubora) ila ulivyochomekea suala la pesa (utadhani ninyi mnasajili bure) na match fixing nikajua unaongelea ushabiki zaidi.
Ifike mahali tukubali kwa umoja wetu kuwa Pep ameset standard kubwa ya alama ili uweze kuwa bingwa wa EPL. Kwa alama zenu za misimu miwili iliyopita bila uwepo wake, Arsenal mngalikuwa back to back champions ila ndio hivyo jamaa anatunyanyasa collectively.
Hadi sasa bado hakuna kocha EPL wa kumchallenge Pep convincingly, tunabahatisha tu, Ngoja tumpe Slot muda ila sio arteta wenu wala Ten hag wetu.
we bado hujaama timu tulia dawa iingie ....hakuna kitu kigumu kama kuhama timu moyo uliyo chagua hapo akili inakuambia ushahamia Liverpool ila roho bado ipo unyumbuni na hili jambo lipo kwa man utd fans haupo peke yakoKatika kitu ambacho najuta duniani ni kushabikia timu bovu kama Manchester united tena najuta Sanaa sababu nililipenda kutokana na Broo alikua analipenda na nilikua naenda nae kibandaumizakipindi kile mzee Ferguson anatafuna big g mbele ya messi Sasa Hilo timu baada ya mzee Ferguson kuondoka limeonekana halina mpango mpaka Jana tulivyochezea kichapo na Liverpool nimehama rasmi Mimi ni shabiki wa Liverpool kilichonifanya niipende ni siku ya Jana nimeshuhudia timu langu la zamani bovu likipigiwa mpira na kudharirika tukiwa nyumbani rasmi Mimi nashabikia Liverpool najiandaa kwenda kuchukua jezi zangu zote 3 za Liverpool najua wengi mtaongea ila msinipangie maisha Manchester united imeshajifia na haitofufuka kwenye ulimwengu wa hii dunia