Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,680
Magoli unayaondoaje Kwa mdomoUkiondoa magoli matatu tuliyowapa wale jamaa kuna kipi cha maana sana walichokifanya kwenye hii mechi
Ila progerss ipo wadau ni suala la muda tu
Magoli unayaondoaje Kwa mdomoUkiondoa magoli matatu tuliyowapa wale jamaa kuna kipi cha maana sana walichokifanya kwenye hii mechi
Ila progerss ipo wadau ni suala la muda tu
Hakuna cha maana mkuu,kwenye football cha maana ni kufunga magoli tu hakuna kingine labda utuambie wewe cha maana kina weza kuwa kipi ukiondoa kufunga magoli.Ukiondoa magoli matatu tuliyowapa wale jamaa kuna kipi cha maana sana walichokifanya kwenye hii mechi
Ila progerss ipo wadau ni suala la muda tu
Hata mimi ninawasiwasi na kazi yahuyu jamaaHigi huyu ni kocha kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu ni dalali pia anamiliki kampuni kubwa ya udalali amemuweka mwanae kama msimamizi mkuu.Higi huyu ni kocha kweli?
Ni miaka mingapi tokea babu aondoke?Hii timu mimi nazitupa lawama kwa fergie moja kwa moja.....
Babu hakutaka mabadiliko ya kiuchezaji kwenye soka lake means hata mfumo wa soka la kisasa hakuutengeneza
Babu alituachia timu mbovu ambayo isingeweza kumaintain kwenye ubora hata miaka miwili mbele na hili tumeliona
Babu aliacha structure mbovu mno ya kiuchezaji ambayo mpaka leo makocha wanahaha kuiondoa klabuni na kuleta structure ya soka la kisasa
Mateso yote haya chanzo ni fergie tu lawama nazitupa kwake kwa asilimia mia...........wenga kaacha msingi mzuri mno wa kiuchezaji kiasi kwamba makocha waliokuja hawajateseka sana kimfumo wao waliamua kusajili wachezaji wanaoendana na mfumo walioukuta ingawa kubeba makombe kwao ni mtihani......klopp anasepa liverpool ameiacha timu ikiwa na stucture yake ya kiuchezaji kocha mpya hapati tabu kutembelea huu mfumo alioukuta na hata pep akisepa akija kocha hatopata tabu kabisaaaaa...
Fergie aliiacha united ikiwa na mfumo wa pasi tatu goli hakutaka kabisa kubadilika kiuchezaji wakati mwenzie wenger tayari alishaachana na huo mfumo na kuijenga aseno hii ya kisasa kiuchezaji waliomuita profesa hawakukosea............
Timing nzuri ya kubadilika kiuchezaji fergie alipaswa aianze pale tu alipotetemeshwa wembley na barcelona leo hii makocha wapya wasingeteseka hivi kutengeneza structure ya kiuchezaji na wala tusingebadilisha makocha hovyo hivi kama nguo
Tuwe honest nature ya united si 433, they cant play hiyo formation. Unite imekuwa heavily rely ilon 442 miaka mingi, why wana force formation ambazo si productiveInabidi twende na 4_3_3, jana imetuonesha ni namna gani nyuma ya middfield tunakuwa outnumbered.
Ila all in all fukuza ten hag, miaka 3 hakuna hata style of play.
Rashford aanzie bench.
View attachment 3084940
Dogo yoro akirudi tujaribi pia na 3 5 2
Sasa 442 kwa modern football utapotea, 4231 ndio hii tunakuwa dominated behind the midfieldTuwe honest nature ya united si 433, they cant play hiyo formation. Unite imekuwa heavily rely ilon 442 miaka mingi, why wana force formation ambazo si productive
Hata muende 555 nyie hamna timu 🤣🤣🤣🤣Inabidi twende na 4_3_3, jana imetuonesha ni namna gani nyuma ya middfield tunakuwa outnumbered.
Ila all in all fukuza ten hag, miaka 3 hakuna hata style of play.
Rashford aanzie bench.
View attachment 3084940
Dogo yoro akirudi tujaribi pia na 3 5 2
View attachment 3084943
Hata muende na 555 nyie hamna kituSasa 442 kwa modern football utapotea, 4231 ndio hii tunakuwa dominated behind the midfield
Lawama za kindezi kabisa kwa Sir Alex Ferguson, kwani Liverkuku hakuwa na philosophy la counter attack football enzi za akina Gerrard, mbona wamebadili mfumo na sasa wako vizuri tu?Hii timu mimi nazitupa lawama kwa fergie moja kwa moja.....
Babu hakutaka mabadiliko ya kiuchezaji kwenye soka lake means hata mfumo wa soka la kisasa hakuutengeneza
Babu alituachia timu mbovu ambayo isingeweza kumaintain kwenye ubora hata miaka miwili mbele na hili tumeliona
Babu aliacha structure mbovu mno ya kiuchezaji ambayo mpaka leo makocha wanahaha kuiondoa klabuni na kuleta structure ya soka la kisasa
Mateso yote haya chanzo ni fergie tu lawama nazitupa kwake kwa asilimia mia...........wenga kaacha msingi mzuri mno wa kiuchezaji kiasi kwamba makocha waliokuja hawajateseka sana kimfumo wao waliamua kusajili wachezaji wanaoendana na mfumo walioukuta ingawa kubeba makombe kwao ni mtihani......klopp anasepa liverpool ameiacha timu ikiwa na stucture yake ya kiuchezaji kocha mpya hapati tabu kutembelea huu mfumo alioukuta na hata pep akisepa akija kocha hatopata tabu kabisaaaaa...
Fergie aliiacha united ikiwa na mfumo wa pasi tatu goli hakutaka kabisa kubadilika kiuchezaji wakati mwenzie wenger tayari alishaachana na huo mfumo na kuijenga aseno hii ya kisasa kiuchezaji waliomuita profesa hawakukosea............
Timing nzuri ya kubadilika kiuchezaji fergie alipaswa aianze pale tu alipotetemeshwa wembley na barcelona leo hii makocha wapya wasingeteseka hivi kutengeneza structure ya kiuchezaji na wala tusingebadilisha makocha hovyo hivi kama nguo
Utafukuza makocha wangapi na kumbuka kila kocha anakuja na style of play yake.....kitendo cha fergie kutoswitch kutoka kwenye 442 yake na kucheza hii mifumo mnayotaka ikasaidia hata kwa hawa warithi wake ndio chanzo cha mateso yote hayaInabidi twende na 4_3_3, jana imetuonesha ni namna gani nyuma ya middfield tunakuwa outnumbered.
Ila all in all fukuza ten hag, miaka 3 hakuna hata style of play.
Rashford aanzie bench.
View attachment 3084940
Dogo yoro akirudi tujaribi pia na 3 5 2
View attachment 3084943
Pole sana karibu LiverpoolKatika kitu ambacho najuta duniani ni kushabikia timu bovu kama Manchester united tena najuta Sanaa sababu nililipenda kutokana na Broo alikua analipenda na nilikua naenda nae kibandaumizakipindi kile mzee Ferguson anatafuna big g mbele ya messi Sasa Hilo timu baada ya mzee Ferguson kuondoka limeonekana halina mpango mpaka Jana tulivyochezea kichapo na Liverpool nimehama rasmi Mimi ni shabiki wa Liverpool kilichonifanya niipende ni siku ya Jana nimeshuhudia timu langu la zamani bovo likipigiwa mpira na kudharirika tukiwa nyumbani rasmi Mimi nashabikia Liverpool najiandaa kwenda kuchukua jezi zangu zote 3 za Liverpool najua wengi mtaongea ila msinipangie maisha Manchester united imeshajifia na haitofufuka kwenye ulimwengu wa hii dunia