Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 705
- 1,281
Unaweza ukazaa watoto 4 wote wana vipara, 2 wakawa na uwezo darasani na 2 wakawa vilaza
Hafai kukaa hata benchicasimiro ni mzigo wa kuni
Huyu Casemiro kashachoka..
Piga Nyumbu hadi maji waite mma 😁simuoni zirkzee kama anaweza kumuweka bechi hojlund
Muda wake wa kuanza kujifunza kiarabu sasaCasemiro bora wangemuuza kwa waarabu
Anaendeleza alipoishia msimu jana.Muda wake wa kuanza kujifunza kiarabu sasa
Hata yeye mwenyewe anashalijua hilo kilicho baki ni kuzuga zuga tu hapo na kuchuma hela zake maana wakimvunjia mkataba watabidi wamlipe hela nyingi soTofauti ya Liverpool ni wachezaji wake wakipata mpira tayari wanajua nini cha kufanya. Man U wachezaji ni kama hawana akili ya mpira, wakipata mpira ndio wafikirie kwanza cha kufanya, ndio maana unaona hata mipira mingi inapigwa hivyo hovyo. Wachezaji wanapata mpira lakini hawajui wafanye nini. Liverpool wanastahili kuwa mbele.
Kinachofuata sasa baada ya kocha kupewa wachezaji wote hawa, atafukuzwa yeye. Sioni mabadiliko yoyote kwenye hii timu.