fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,381
- 9,767
Timu imenunua mabeki watatu msimu huu ila bado inamchezesha maguire kama starter na inatafuta kiungo wa mkopo. Sidhani kama kuna nafasi ambayo ililalamikiwa kwa muda mrefu sana katika united kama eneo la kiungo wa chini, ila hadi sasa tunapambania kumpata ugarte kwa mkopo.