Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,875
Hapo anakuja sterling tu, toney kumpata ni ngumu.Kwa usajili ulionyika hadi sasa ndio kitakuwa kipimo kizuri cha uwezo wa ETH especially akipatiwa Toney na Sterling.
Tuna viongozi wapya, najua wako makini sana kufanya assessment ya ETH km hafai basi itajulikana