arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Kipindi cha pili Mount ataubonda mwingi sana 🤠🤠🤠...mkishindwa kuwafunga Hawa Brighton leo kwa wanavyocheza hivi msahau kushinda mechi yyte dhidi ya top six wale...hii sio Brighton tuliyoizoea...ila nyny ndo mmezidi kuwa malofa....yaani mnarukaruka tu....badilikeni jmni tumechoka kuwachekaMount Mount Mount ..... Chelsea turudishie pesa yetu dah ile 60m tungetumia kushinikiza kumleta dogo neves aliyetua psg hapo kati kidogo tungekua na amani
kwani kunashida gani mechi hata moja akaanza garnacho then mbele umuewek rashford bruno arudi 10 kwenye CAM nafasi yake mzee anapenda super sub ma ku complicate mambo