Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ya kupeleka pesa ya mbuzi Arsenal tuliipitia miaka 10 nyuma

Angalieni vyuma tunavyohusishwa/kuvichukua alafu mje Kusema tunanunua mechi
IMG-20240722-WA0005.jpg
 
Achana na foden kuwa juu ya Saka
Kuna mchezaji kutokea unyumbuni hapa? Sasa mkae kwa kutulia mkiwa mnashughulikiwa ipasavyo ligi ikianza
IMG-20240721-WA0025.jpg
 
Hiki Ni kipindi pekee nyumbu mkitumie vizuri hasa ukikumbuka hauna ata timu ya kukupa matokeo mbele ya Aston Villa, Newcastle, Brighton, West Ham, Spurs
Mjiandae kuja na matusi mengine Yale ya zamani tumeshayazoea
 
Sir Alex uko wapi, nyakati zako wajinga wajinga kama hawa tulikuwa tunawasajili kwa lazima.
View attachment 3052889

Moja ya Sajili Bora zaidi kwa UTD Itakuwa ni ADAM WHARTON.
Huyu tulihushwa naye akiwa Blackburn ila Chelsea ndo ilikaribia Mchukua sijui Ilikwamaje. ASHWORTH alimskauti Mwenyewe akitaka msajili NEWCASTLE!

Dream Mid ya UTD kwa Mimi ni WHARTON x MAINOO x MUSIALA 25/26.
WHARTON anakupa kila kitu Unahitaji kwenye Midfield, Kila wakati akipokea Mpira anaangalia Pasi ya Kwanza kwenda Mbele,
Ni Suala la Muda watamuimba zaidi. SOUTHGATE Hakuwa anajua Silaha aliyonayo.
 
Dogo ana akili ya ball aseh ye anawaza mbele tu, hapo ni mwendo wa mbio za kina garnacho tunascore kisha wanatukuta kwenye kibendera
 
Moja ya Sajili Bora zaidi kwa UTD Itakuwa ni ADAM WHARTON.
Huyu tulihushwa naye akiwa Blackburn ila Chelsea ndo ilikaribia Mchukua sijui Ilikwamaje. ASHWORTH alimskauti Mwenyewe akitaka msajili NEWCASTLE!

Dream Mid ya UTD kwa Mimi ni WHARTON x MAINOO x MUSIALA 25/26.
WHARTON anakupa kila kitu Unahitaji kwenye Midfield, Kila wakati akipokea Mpira anaangalia Pasi ya Kwanza kwenda Mbele,
Ni Suala la Muda watamuimba zaidi. SOUTHGATE Hakuwa anajua Silaha aliyonayo.
Ameshasajiriwa Na Manchester United??
 
Back
Top Bottom