Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,531
Msimu uliopita tulikuwa na tatizo la "collection of untrainable team", namna hawa makocha wamekusanywa inaweza kuwa imetengenezwa tatizo lingine, sijaelewa niliiteje.
lakini kwa kifupi, kuna hatari kukawa na complicated conflict of interests, sababu wameletwa pale watu ambao self ambitions zao ziko juu.
lakini kwa kifupi, kuna hatari kukawa na complicated conflict of interests, sababu wameletwa pale watu ambao self ambitions zao ziko juu.