Huyu ni moja kati ya nguzo muhimu sana ktk timu ila anahitaji #6 (CDM) mzuri ili awe huru kucheza #8 kama ilivyo Benfica Joao Neves anacheza juu ya Florentino Luis. Pia ningependa sana contingency plan ya Ugarte iwe Florentino Luis but Benfica they don't sell cheap.Dogo MAINOO bado naona sio wa kikosi cha kwanza
Yes hata mimi sijamtaka hapo ila tusipomleta mbadala wake yeye ndiye atacheza.Mtoe casemiro, he wont be there for long
Jombaa kuna central midfielder (CM) #8 ana uwezo hata nusu ya kumkamlisha bench Kobbie pale kikosini? Labda kama unashauri tumlete Joao Neves wagombee namba still I'll choose Kobbie. Mapungufu yetu halisi kwa sasa ni kiungo wa chini.Huyu sio wa kuanza kikosi cha kwanza
Inabidi aongezwe beki mwingine, huyo Leny Yoro awe intergrated taratibu.Nahisi msimu huu timu itakuwa hivi na-wish kumuona Manuel Ugarte tu sehemu ya Casemiro. Wachezaji wote wakiwa fit ktk michezo 32 out of 38 moto utawaka.
View attachment 3045466
Sijaona wakuweka benchi pale.Dogo MAINOO bado naona sio wa kikosi cha kwanza
Jony Evans na Harry Maguire wapo as long as Lisandro atakuwa fit dogo ataingia taratibu kikosoni.Inabidi aongezwe beki mwingine, huyo Leny Yoro awe intergrated taratibu.
Bado yuko kwenye developnment.
Na anahamia kwenye ligi yenye presha kubwa.
Na Club yenye presha pia.
Martin Zubimendi or Florentino Luis. Manuel Ugarte nafsi yangu ifakuwa na amani zaidi namuona ana-fit vizuri sana. Kiungo wa chini lazima awe aggressive kidogo yaani mtata mtata.🚨🚨🇺🇾 DISCUSSION: Who would be YOUR first alternative to Manuel Ugarte? 🤔
Naona watu wengi watizamia mbadala wa UGARTE ni :-
1 - 𝐋𝐞𝐞𝐦𝐚𝐨
2 - 𝐙𝐮𝐛𝐢𝐦𝐞𝐧𝐝𝐢𝐢
3 - João 𝐧𝐞𝐯𝐞𝐬
Je, wapo sawa?..?
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃🇳🇱⚙️
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨🏟️
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏🏁
#𝙂𝙂𝙈𝙐💪😎
man utd |
View attachment 3045660
Dah! wewe unatakiwa uwe una like tu, usicomment kabisa!Huyu sio wa kuanza kikosi cha kwanza
Baada ya hapo tutasajili mpaka hamis77 awe mfua jeziTushamalizana na Manuel Ugarte wamebaki PSG.