El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
Hatimae José Luis García Vayá amefikiwa. Kuna wachezaji wanakuwa wanachelewa tu kwenda timu kubwa ila linakuwa suala la Muda PEPELU Huyu ni mja ya kitu Barca wanachohitaji kwa sasa!Pepelu.
ONANA kashtua kwenda VILLA Japo wapo na Project nzuri! Branthwaite kwenda UTD Ndo imeshafutika wakishikilia Bei. Ni nzuri zaidi kwa UTD kuona Plan B zao zinakuwa ni zipi.
LCB+LB Hybrids Options wengi wametoa zao ila kwangu Mimi Wildcard ni Strahinja Pavlović na Castello Lukeba. Timu itayofanikiwa wapata hawa Mabwana imepata wachezaji haswa, Finger Crossed Hiyo timu iwe UTD.
{Hawa hawawezi lalamika kuwa Squad Rotation Players na wako na Uwezo mkubwa sana}