Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,355
- 33,766
Zirkzee siyo Winga wa kushoto ni CFKipindi cha nyuma tuliambiwa kwamba hatuwezi kusajili zaidi ya wachezaji 5 kwa dirisha moja lakini naona Jimmy anafanya sajili si chini ya 5 hadi 6 msimu huu. Msimu juzi tuliambiwa na watu humu kuwa hili haliwezekani kumbe tulikuwa tunapigwa kamba tu.
Nasubiri Rashford auzwe ili niwe na uhakika wa Zirkzee kuanza shavu la kushoto kila mara.