Hongereni.
Na bado kuna community shield. Mkimtwanga tena dada yenu itakuwa poa pia ili mpunguze machungu ya kumaliza wa 8 msimu huu. Uzuri kwenu ni mmepata nafasi ya kuingia Ulaya. Mtalazimika kufanya maboresho makubwa na kutuletea ushindani kidogo.

Mkuu kwanza naomba ufute hio kauli ya kumaliza nafasi ya 8, ukishinda tu FA kama haupo kwenye top4 na sio miongoni mwa timu zilizoshuka daraja, basi automatically unahesabika umemaliza ligi kwenye nafasi ya 5, kama unabisha waulize chelsea msimu ujao kwenye mashindao ya ulaya watashiriki mashindano yapi?Waambie kabisa hao jamaa kwamba Man U ni top five.Mkuu kwanza naomba ufute hio kauli ya kumaliza nafasi ya 8, ukishinda tu FA kama haupo kwenye top4 na sio miongoni mwa timu zilizoshuka daraja, basi automatically unahesabika umemaliza ligi kwenye nafasi ya 5, kama unabisha waulize chelsea msimu ujao kwenye mashindao ya ulaya watashiriki mashindano yapi?
Mkuu kwanza naomba ufute hio kauli ya kumaliza nafasi ya 8, ukishinda tu FA kama haupo kwenye top4 na sio miongoni mwa timu zilizoshuka daraja, basi automatically unahesabika umemaliza ligi kwenye nafasi ya 5, kama unabisha waulize chelsea msimu ujao kwenye mashindao ya ulaya watashiriki mashindano yapi?
Nyie mmemaliza nafasi ya 8. Kushinda kwenu kombe kumewapeleka Europa. Sasa mmeona umuhimu wa kushinda FA ili kuingia Ulaya? Unakumbuka ile UEFA Cup Winners cup yetu ya 93/94 ambayo sasa imekuwa sehemu ya Europa League? Kuingia kwake ndiyo namna hii sasa. Enjoy kuingia ulaya ila pia itakusahaulisha kuwa mmemaliza nafasi ya 8. Uzuri zaidi mmewatupia chelkenge conference na wale mijusi milia hawana chao popote ulaya. Mmempunguzia makombe kipara na kumpa huzuni chawa wake, Pain killer aka Herzog

London is redJipongezeni na jitahidini sasa kuturingishia na kujifananisha na sisi ila haitawasaidia. Bado mtabaki kuwa kama wadogo zetu wa kike msiotuzidi chochote na sisi tunafurahia tu ushindi wenu bila kinyongoLondon is red
Man Utd tumeenda kubeba kombe nyumbani kwa kina Trophyless.
Hii ni dharau kubwa sana Ten Hag ameifanya chumbani kwa Arteta. View attachment 2999429
Nyie mmemaliza nafasi ya 8. Kushinda kwenu kombe kumewapeleka Europa. Sasa mmeona umuhimu wa kushinda FA ili kuingia Ulaya? Unakumbuka ile UEFA Cup Winners cup yetu ya 93/94 ambayo sasa imekuwa sehemu ya Europa League? Kuingia kwake ndiyo namna hii sasa. Enjoy kuingia ulaya ila pia itakusahaulisha kuwa mmemaliza nafasi ya 8. Uzuri zaidi mmewatupia chelkenge conference na wale mijusi milia hawana chao popote ulaya. Mmempunguzia makombe kipara na kumpa huzuni chawa wake, Pain killer aka Herzog

halafu hilo kombe la kipuuzi lilofutwa la UEFA Cup Winners msilazimishe kuliita ni Europa League. 

️