D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Sawa najua Ni sababu ya kuvaa viatu Sana n mengine ....!Miguu ya kazi hiyo. Huo mguu tu unakupa picha kwa miaka 19 aliyonayo amefanya kazi kubwa kiasi gani kufika hapo alipo.
Mim mwenyewe najua ,wachezaji wengi hata Ronaldo kucha hazipo normal kutokana na kuvaa viatu muda wote +nginjanginjaa za uwanjan ..,.....Sawa gigy money
Mpira una Umaarufu Uingereza sababu ya "Passion" unaunganisha Wengi. Ni rahisi sana kukuta ligi za Ridhaa "National League" zina Mashabiki wengi Uwanjani kuliko Baadhi ya Ligi kubwa Nje ya EPL.Mim mwenyewe najua ,wachezaji wengi hata Ronaldo kucha hazipo normal kutokana na kuvaa viatu muda wote +nginjanginjaa za uwanjan ..,.....
Wana derseve pesa nyingi Sana Hawa watu ....
Mambo ya kucheza sijui club ,passion Ni utapeli
Man city Ni timu kubwa kijana tatizo mnafikili huu Ni mwaka 1990 ....this is 2024 where all kids dream to play Etihad 😂Mpira una Umaarufu Uingereza sababu ya "Passion" unaunganisha Wengi. Ni rahisi sana kukuta ligi za Ridhaa "National League" zina Mashabiki wengi Uwanjani kuliko Baadhi ya Ligi kubwa Nje ya EPL.
UTD Baada ya 4~0 na Palace Mashabiki wake wanaimba na Kuishangilia timu Hiyo Tunaita PASSION na Ilibadili Akili za Wachezaji. UTD ina Motto "Youth, Courage & Success" Watoto wengi wa ACADEMY wana ndoto za Kuiwakilisha Timu ilowalea.
CITY huwezi ona Mchezaji Mwingine anajitoa zaidi ya Uwezo wake Mambo yakiwa Magumu Nje ya FODEN. Ni Rahisi sana Kumpata Mchezaji akakwambia Ana ndoto za Kucheza UTD, LIVER, ARSENAL ila Sio CITY na Ndo Maana unachukulia kawaida uzito wa PASSION!
story nilikuta hivyo, lakini nahisi walitaka kumaanisha 𝐂𝐇𝐈𝐋𝐃𝐇𝐎𝐎𝐃 𝐂𝐋𝐔𝐁 sema nilisahau kubadiri hapo nilikuwa hypedGarnacho
sana Jana
.
️ Ten Hag: “When I took over, it was a mess at United”.





Ten Hag on INEOS planning to rebuild with him: Do I have to repeat myself 20 times... they don't have to tell me every week, they tell me so often!”.






Paul 𝐒𝐜𝐡𝐨𝐥𝐞𝐬: “Don't waste your time with comparison between me and Kobbie 𝐌𝐚𝐢𝐧𝐨𝐨𝐨…”
️ “He is 10 times the player I was at 19”.





Sure hao watoto na FA CUP ya youth teams walifunga wao dhidi ya Man Citystory nilikuta hivyo, lakini nahisi walitaka kumaanisha 𝐂𝐇𝐈𝐋𝐃𝐇𝐎𝐎𝐃 𝐂𝐋𝐔𝐁 sema nilisahau kubadiri hapo nilikuwa hypedsana Jana
.
Sancho hatakiwi kurudi UnitedKwa hiki kikosi cha vijana kilichocheza jana, tufanye kampeni Greenwood arudishwe nyumbani tuwe na talents za maana. Ikiwezekana Sancho vile vile audio wayamalize na baba ubaya.
Mpuuzi yule ataharibu sprit ya team.Sancho hatakiwi kurudi United