Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Man city Ni timu kubwa kijana tatizo mnafikili huu Ni mwaka 1990 ....this is 2024 where all kids dream to play Etihad 😂Mpira una Umaarufu Uingereza sababu ya "Passion" unaunganisha Wengi. Ni rahisi sana kukuta ligi za Ridhaa "National League" zina Mashabiki wengi Uwanjani kuliko Baadhi ya Ligi kubwa Nje ya EPL.
UTD Baada ya 4~0 na Palace Mashabiki wake wanaimba na Kuishangilia timu Hiyo Tunaita PASSION na Ilibadili Akili za Wachezaji. UTD ina Motto "Youth, Courage & Success" Watoto wengi wa ACADEMY wana ndoto za Kuiwakilisha Timu ilowalea.
CITY huwezi ona Mchezaji Mwingine anajitoa zaidi ya Uwezo wake Mambo yakiwa Magumu Nje ya FODEN. Ni Rahisi sana Kumpata Mchezaji akakwambia Ana ndoto za Kucheza UTD, LIVER, ARSENAL ila Sio CITY na Ndo Maana unachukulia kawaida uzito wa PASSION!
Kuhusu passion nazungumzia Kwa wachezaji ,they need money to play good football,mtoto kama Huyo miguu ishazeeka ndio Kwanza 19ys miguu inaonekana ya Mzee WA miaka 60yrs harafu shabiki wapuuzi kama nyie akitaka pesa nyingi mnaanza kusema Hana mapenzi na timu wacha akachezee kwenye pesa ...
Wachezaji saizi sio wajinga ,mim nakubali maisha ya mbappe no money no blaaa blaaa ndio maana siku zote anachagua club yenye pesa ,Mambo ya kuchezae club ndio inapata mafanikio ,wachezaji wanabaki masikin ,Harafu Sisi wenyewe mashabiki ndio tunaanza kuwacheka Ni ujinga , ndio maana unatengeneza malegend mpaka Leo wanakaa kwenye nyumba za rashford .........!!
Malegend WA Barcelona wote mpaka sasa wanalia ,wanadharaulika pale kwenye club ,....
Kuchezea club ipate makombe harafu wewe unakufa na umasikini kisa passion za mashabiki Ni ujinga...
sana Jana
.
️ Ten Hag: “When I took over, it was a mess at United”.





Ten Hag on INEOS planning to rebuild with him: Do I have to repeat myself 20 times... they don't have to tell me every week, they tell me so often!”.
Paul 𝐒𝐜𝐡𝐨𝐥𝐞𝐬: “Don't waste your time with comparison between me and Kobbie 𝐌𝐚𝐢𝐧𝐨𝐨𝐨…”
️ “He is 10 times the player I was at 19”.

