Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu kwanza naomba ufute hio kauli ya kumaliza nafasi ya 8, ukishinda tu FA kama haupo kwenye top4 na sio miongoni mwa timu zilizoshuka daraja, basi automatically unahesabika umemaliza ligi kwenye nafasi ya 5, kama unabisha waulize chelsea msimu ujao kwenye mashindao ya ulaya watashiriki mashindano yapi?Hongereni.
Na bado kuna community shield. Mkimtwanga tena dada yenu itakuwa poa pia ili mpunguze machungu ya kumaliza wa 8 msimu huu. Uzuri kwenu ni mmepata nafasi ya kuingia Ulaya. Mtalazimika kufanya maboresho makubwa na kutuletea ushindani kidogo.